Tuesday, August 30, 2011

STILLS FROM RED APPLE BEHIND THE SCENES


Unajua kuna vitu kama Framing, hasa rule of third na vitu kama hivyo Camera Boy akiangalia kupitia Camera flipping LCD screen 'BabKubwa!'



 Haya Time for the Director (mimi) kuweka mambo sawa
                                


  Nadhani mtakaoangalia tamthilia hii, mtaikumbuka hii scene mkiiona. Hapa kulikuwa na powerful conversation between the characters.



Unaangaliwa uwezekano wa ku place camera ndani ya gari kama kwenye Hollywood script hii scene ilitakiwa iwe na scene head inayoanziwa na INT.CAR - DAY




 Kila kitu sawa sasa.




Well. hii ni Technolojia nyingine sasa Director Tues (mimi)  nikiangalia na kusikia yanayotendeka ndani ya gari. Ndani ya gari walikuwepo watu watatu tu. Characters 2, Camera Boy.




 Hii ilikuwa TAKE ya pili sasa....




Huku characters wengine wakicheki  game linavyokwenda.



Hii ilikuwa TAKE ya tatu sasa. Burudani kabisa!




 Baada ya kazi kama mnavyojua tena, unapata unachojisikia. Kwa vile  tulikuwa ufukweni basi madafu yali take place hahaaa....

No comments:

Post a Comment