Tuesday, August 30, 2011
STILLS FROM RED APPLE BEHIND THE SCENES
Unajua kuna vitu kama Framing, hasa rule of third na vitu kama hivyo Camera Boy akiangalia kupitia Camera flipping LCD screen 'BabKubwa!'
Haya Time for the Director (mimi) kuweka mambo sawa
Nadhani mtakaoangalia tamthilia hii, mtaikumbuka hii scene mkiiona. Hapa kulikuwa na powerful conversation between the characters.
Unaangaliwa uwezekano wa ku place camera ndani ya gari kama kwenye Hollywood script hii scene ilitakiwa iwe na scene head inayoanziwa na INT.CAR - DAY
Kila kitu sawa sasa.
Well. hii ni Technolojia nyingine sasa Director Tues (mimi) nikiangalia na kusikia yanayotendeka ndani ya gari. Ndani ya gari walikuwepo watu watatu tu. Characters 2, Camera Boy.
Hii ilikuwa TAKE ya pili sasa....
Huku characters wengine wakicheki game linavyokwenda.
Hii ilikuwa TAKE ya tatu sasa. Burudani kabisa!
Baada ya kazi kama mnavyojua tena, unapata unachojisikia. Kwa vile tulikuwa ufukweni basi madafu yali take place hahaaa....
Sunday, May 15, 2011
MILLOSIS 'THE MAKING'
Director Tuesday Kihangala 'Mr. Chuz' akiwa mzigoni kwenye tamthilia ya Millosis inayoonyeshwa TBC1
Before kuingia 'Mzigoni'
MUIGIZAJI CHIPUKIZI WA MILLOSIS
RATIFA MTOBI (TANITA)
Amezaliwa Tanga miaka kumi na tisa iliyopita. Mwigizaji wa Tuesday Entertainment. anapendelea kuogelea na riadha.
Subscribe to:
Posts (Atom)